CHAKAMA kina matawi katika kila nchi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Makao yake makuu ni Arusha, Tanzania.